Video

BREEDER LW - "YES BANA FREESTYLE" (Official Video)

BREEDER LW -
KHALIGRAPH JONES "YES BANA" FT BIEN FREESTYLE - BREEDER LW YES BANA CHALLENGE! I have decided to celebrate hitting 10K subscribers with this dope freestyle.Iwabambe Sana💯👌 Yes Bana Freestyle By Breeder LW. Directed By Qvsual. Original Song By Khaligraph Jones. For Promo Purposes Only. Instrumental remade by Vinc B LYRICS ; Bazenga husonganga ki Donga, Ka hufiki bei si important, Maganji mkononi ka donda, Saa hii bila mimi hio ngoma haita zoza, Beat ni ya Omollo,Inagonga, Sling ni ya Goro, Unatokwa, Bado nawa washa, kidonda, Ukishindwa kuwinda subiri mzoga, Ma drama,machocha vioja, Ndio zimefanya Kenya kuna locust, Ata Rap siku hizi joh ni bogus, Ju flow ni hatari kwa pori umesota, Ikikuja Rap me ni Kobra, Mamita nasaka sitachoka, Me hubuy ndulla Gikomba, Ndechu ,brandy na ata haijaoshwa, Ukitry Test Ni Makosa, Pongi ka inatupa imeoza, Breeder Uliacha Kuroga?, Ala!!Fuck You!! Me bado ni Kobra, Sura ndio imejaa kwa ma poster, Leta Vodo Yangu Bila Chaser, Shingo iko icy ka glacier, Drip hadi plumber anateta, Msupa alikuchocha ako kesha, Guess ako na nani kwa keja, We unapiga simu iko mteja, Bazenga Dadii,Nai pepeta pepeta, Kunipata hadharani blunder, Ganji Kwanza,Ndio nicheki idhaa nikipanda, Ziki nyanya,Pepea ka silver surfer, Nili apa,Heri nidedi niki tafutaa, Niki Taka,Naeza Diss kila Rapper, Swiftly After,Nika sip gin na tusker, Piga starter,Medi na steam ya jaba, Tiki Taka,Ligi biggy hii ni Barca, Eazi sana,Eazi Kama Gugu Gaga, Taka Taka,Tusi wao me ni Ng'ang'a, Haha haha, Me huwacheka wao hubamaba, Ni ma learner,wanataka kubishana, Soma Kwanza,Pata Degree na Masters, Nini sasa huwezi tema hizi stanza, Mbuzi hapa,Me nasaka greener pastures Chunga Sana,Utapata scar na fracture, Kunipata bila beret,No Bana, Verse zangu zote Genje,Yes Bana Man a giant on the low,No Burna, Man a,man a giant on the low,No Burna, Last Year, nilikua nimeparara, Nikifika bash na Sahara, Siku hizi step nimeng'ara, Ma diva,ma cougar ma slay wanaholla, Sijai dishi Dondo nikahara, KFC Chicken inn, hio Apana, Warazi wanabaki na mapara, Waititu juzi amegeuziwa Janta, Bazenga Dadi jina biggie kwa hii mziki , Na city to city nasambaza TK ka injili, Nikihisi inatabidi nafika na mbogi na siringi, Ntafika kwa guniess ntavunja rekodi ka Kijiti, Baraka ndio mingi hapa hakuna hizo ma irisi, My nigga we winning,enough with the gimmicks,I mean it, The minute,I'm in it,I'ma be a menace,I mean it, Fuck a critic,Mean while I be paid for each lyric. #YesBanaChallenge #BazengaDaddii #YesBana