Video

Buriani Kighenda na Amanda : Waathiriwa wa Likoni wazikwa Makueni

Buriani Kighenda na Amanda :  Waathiriwa wa Likoni wazikwa Makueni
Waathiriwa Wa Mkasa Wa Likoni Miriam Kighenda Na Bintiye Amanda Mutheu Hatimaye Wamezikwa Hii Leo Kwenye Hafla Iliyojawa Na Majonzi Na Kuhudhuriwa Na Viongozi Kutoka Eneo La Ukambani Wakiongozwa Na Gavana Wa Kaunti Ya Makueni Profesa Kivutha Kibwana . Jamaa Na Marafiki Waliofika Kuwapa Wawili Hao Mkono Wa Buriani Walikashifu Tukio La Ajali Liliwapokonya Wapendwa Wao.