Video

Dalili zaashiria kuonekana kwa gari lililozama Likoni, Mombasa

Dalili zaashiria kuonekana kwa gari lililozama Likoni, Mombasa
Siku ya kumi baada ya mkasa uliotokea katika kivuko cha Likoni, wataalam wa majini na wapiga mbizi wa kimataifa sasa wanaelezea matumaini makubwa baada ya kuhusika kwenye oparesheni kutwa nzima.