Video

MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"

MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA -
MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA" RAIS Dkt John Magufuli, leo Mei 03, amemuapisha Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, baada ya aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Balozi Agustine Mahiga, kufariki dunia na kisha kumpa majukumu mazito waziri wa sheria kuchunguza Maabara ya Taifa madai kuwa vipimo vilionesha Papai, Mbuzi, Fenesi navyo vina CORONA! Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ://bit.ly/38Lluc8 ://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: HABARI MPYA DAILY: HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: GLOBAL RADIO TV: EXCLUSIVE INTERVIEW: Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania